Skip to main content

Wanachama Mahsusi

  i.            Ni watu mashuhuri ambao siyo lazima wawe na asili ya Iramba
ii.            Idadi yao haitazidi ishirini (20).
iii.            Wanachama hawa watagawanyika katika makundi mawili:
·         Wanachama wazalendo (local members)
·         Wanachama wageni (Foreign members)
iv.            Uanachama ni wa muda wa miaka mitatu mitatu.
v.            Hakutakuwa na maombi ya kujiunga na uanachama wa aina hii, bali watateuliwa na kamati ya utendaji na kuthibitishwa na mkutano mkuu
vi.            Baada ya miaka mitatu kupita mwanachama wa aina hii anaweza kuteuliwa tena kwa kipindi kingine cha miaka mitatu bila masharti ya ukomo katika vipindi vya miaka mitatu mitatu.

vii.            Ataacha kuwa mwanachama kutokana na kifo, kufungwa kwa makosa ya jinai, kujihuzuru mwenyewe au kutokuteuliwa tena au kwa maamuzi ya mkutano mkuu wa wanachama wenye ajenda hiyo.

Popular posts from this blog

Matunda ya Iramba

Kuna matogo msisahau hasa kwa vizazi vinavyozaliwa mjini

Katiba mpya ya IDA

Katiba yetu mpya inatarajiwa kuwepo online siku chache kuanzia sasa, hivyo nawashauri wana IDA kuipakua na kuisoma ipasavyo.